Monday, March 21, 2011

WIKIENDI YANGU YA JANA ILIKUWA HIVI PALE MBALAMWEZI


Hii ndio M Band niliyoburudika nayo pale Mbalamwezi
"Arooooooo Mnataka kuni Dili nini!?" msanii wa M band (kulia) kichonga na wadau waliofika pale
Huyu ndio Bishosti aliyenipa tafu katika kuimalizia wikiend yangu
Hapa baada ya mishe zote "Mtoto wa Kitaa" ikabidi nijiweke kwa kiti
Wadau hawa nao walikuwepo.

No comments:

Post a Comment