Monday, March 7, 2011

PIGA KURA KWA AY&FA KILIMUSIC AWARD 2010/2011


MAMBO VIPI...
NATAMBUA NINAPATA/TUNAPATA MAFANIKIO  MAKUBWA KUTOKANA NA KUWA NA WATU WENGI WANAONISUPPORT NA  WANAOTUSSUPORT (AY & FA)KWENYE KAZI ZETU ZA KIMUZIKI KWA UJUMLA NA  YOTE HII NI KWA KUWA HATUWAANGUSHI KATIKA KAZI ZANGU NA ZOTE  TUNAZOZIFANYA..HII YOTE NI KWA KUWA TUNAIPENDA NA KUIHESHIMU SANA KAZI  TUNAYOFANYA KWA KWENDA NA WAKATI NA KUJUA NINI WASHABIKI WANATAKA

KIPINDI HIKI NI KIPINDI CHA KUVOTE  WANAMUZIKI WALIOFANYA VIZURI MWAKA 2010 KWENYE TUNZO ZA KILIMANJARO  AMBAZO HUFANYIKA KILA MWAKA.

KWA HIYO LENGO KUU NINAWAKUMBUSHA WASHABIKI WETU WAWEZE KUTUPIGIA KURA TUWEZE KUCHUKUA TUNZO HIZO..

ZIKO CATEGORIES TATU:
 MWANAMUZIKI BORA WA MWAKA WA KIUME 2010-2011 kwa simu andika B103 kisha tuma kwenda namba 15747 ,
 CATEGORIE ZINGINE TUMEKUWA NOMINATED AY NA FA -
 BEST COLLABORATION SONG - DAKIKA MOJA (AY&FA Feat HARDMAD) kwa simu andika W137 kisha tuma kwenda namba 15747,
BEST HIP HOP SONG-USIJE MJINI (AY &FA)kwa simu andika J182 kisha tuma kwenda namba 15747,

Kwa internet wanaweza kuvote wakitembelea 
http://www.kilitime.co.tz/

PIA UNAWEZA KUTUMA KURA ZAKO KUPITIA EMAIL Ukipenda, tuma kura yako kwa barua pepe kwenda 
ktma@innovexdc.com


ANZA KUVOTE LEO NA KUMBUKA DEADLINE NI 24TH MARCH 2011..
NAAMINI TUTAFANIKISHA NA KUSHEHEREKEA MAFANIKIO PAMOJA KAMA KAWAIDA YETU..


Much love

AY & FA

No comments:

Post a Comment