Monday, June 27, 2011

JB ANG'AA ZIFF, ATWAA TUZO YA MUIGIZAJI BORA WA MWAKA 2011

Muigizaji wa filamu Jacob Steven a.k.a JB akipokea tuzo yake ya Muigizaji Bora wa Mwaka kutoka kwa Profesa Martin Mhando, CEO wa tamasha la kimataifa la filamu (ZIFF), Tuzo ambayo alijinyakuliwa tuzo ya dhahabu kupitia filamu yake ya Senior Bachelor, ambapo Filamu Bora ya Mwaka ilikuwa ni Ray of Hope iliyotengenezwa na Pilipili Entertainment chini ya mwandaaji Sajni Srivastava zilitolewa katika kilele cha hilo la ZIFF lililokuwa liifanyika Ngome Kongwe mjini Zanzibar.
 
habari zaidi gonga HAPA

FABAK FASHION NA NJEJE WALIVYOFANIKISHA USIKU WA KANGA ZA KALE.

Asia na mamodo wake.Waziri Ally akimpongeza Asia kwa ubunifu; Asia ni mwanamitindo wa kimataifa na mkongwe ktk fani hii kwa zaidi ya miaka 30 akiwa na rekodi ya kufanya maonyesho 83 nchini na 19 nje ya nchi.Modo akitoka na vazi la Khanga za kale.Supa modo wa kiume Martin Kadinda akiwa kazini.Mamodo wakila pozi baada ya onesho.

Friday, June 24, 2011

NAPE NNAUYE AKUTANA NA BAADHI YA WAANIDISHI WA BLOGS (BLOGGERS) JIJINI DAR LEO


Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na watayaraishaji wa mitaandao ya mawasiliano ya Blogu, katika ukumbi wa sekretarieti, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam. Nape aliwaita na kuzungumza nao kuhusu masuala mbalimbali ya jamii na kufahamiana nao kwa wadhifa wake. (Picha na Bashir Nkoromo).
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiendelea kufanya mazungumzo na baadhi ya Wanablogu waliofika leo katika ukumbi wa Sekretarieti,ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na watayarishaji wa mitandao ya amawasiliano ya Blogu.

Tuesday, June 21, 2011

SWAGGA NITE PARTY @ CLUB SUN CERRO

SWAGGA NITE PARTY @ CLUB SUN CERRO
Date:     24.06.2011
Time:    10pm
Entree: 10,000 before Med nite, then 15,000 after that
Dress code: showoff your Swagga

Meet the Swagga heroes and dance to the hit Music
played by the East Africa Radio's finest DJs whole Night long.
It is a night to remember with Dj Macky along side
Dj AD a.k.a Mafuvu on the DJ kim.
 … Join and share the experience!!

NYOTA YA MCHEZO BY SUMA MNAZALETI *Download For Promo Only*

Saturday, June 18, 2011

HAPO ZAMANI (HII ILIKUWA NI MWAKA 2000).

Hapa ilikuwa mbelembele kuanzia kushoto ni Mtoto wa Dandu, Alex Kajumulo na Rashid Matula mwaka 2000

Friday, June 17, 2011

KAMBI YA LEO IPO HAPA MBALAMWEZI KWENYE DANCING COMPITITION

Hapa tukishauriana kitu
Hapa niko na mwanangu Saidawg a.k.a Ghetoking
 
 Mpango mzima ulikuwa hapa kwa huyu kijana maana anavunja kama Michael Jackson
Hili ni kundi lingine nalo lilijitupa uwanjani.
Hapa ngoma ilikolea

MTOTO WA KITAA NIMEPIGA KAMBI KITAA HIKI LEO, KESHO SIJUI NITAKUWA WAPI

WASANII WA FILAMU a.k.a WAUZA SURA WATEMBELEA BUNGENI DODOMA

Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami (kushoto) akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 17, 2011. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami aikiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini waliokwenda Bungeni Mjini Dodoma Juni 17, 2011. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wednesday, June 15, 2011

LEO KAMBI ILIKUWA NI PALE PANDE ZA BELINDA RESORT

Hapa MTOTO WA KITAA nikiwa bize kiaina huku pale kati ni mtoto Champy na pembeni ni Mtu mziama BENJAMINI WA MAMBO JAMBO  
Kila mmoja yuko bize (waliosimama ni ALBINO FLANI na shabiki wake wakipeana namba za simu 
Hapa tukifuatilia kazi kwa pamojah!
Hapa ni baada ya kazi.
MTOTO WA KITAA NOW NI KAMBI POPOTE

HIZI NDIO MBIO ZA MISS KAGERA 2011

Warembo wnaowania taji la Miss Kagera 2011 wakiwa baadhi katika picha kama wanavyoonekana hapo juu ambapo june 24 watapanda jukwaani katika ukumbi wa Linuz club usiku huo.
Mnanionaje wadau... kARIBUNI 24 JUNE KATIKA UKUMBI WA LINUZ CLUB...Burudani toka kwa 20% itakuwepo na wasanii wengi pamoja na bendi mbalimbali.

TEAM YA WATOTO YA KAJUMULO FC TEMBO

TUMEMALIZA WASHINDI WA PILI KWENYE STATE TATU ZA ORIGAN/IDAHO/WHASHINGTON STATE NINAO TANGU WANA MIAKA KUMI

Monday, June 13, 2011

MTOTO WA KITANZANIA MWENYE NDOTO ZA KUWA MWANAJESHI.

MISS KILIMANJARO NI JUNI 18.

Baadhi ya warembo wanaowania taji la Miss KILIMANJARO

WAREMBO HAO NI: Asha Mohammed,magreth simon,Halima msuyaIrene Mushi,Rose Habart,Gasper,migeshi masururu,zawadi mwambe, Glads kwayi,jennifer Robbert,Aksa Piter na Betrice SAmwel.
Mwalimu wa mazoezi niEvamary Gamba na matroni ni Victoria Benedict


shindano lenyewelitafanyika tarehe 18 juni katika hoteli ya SALSANEIRO iliypo moshi mjinimitaa ya shanti town 

Kwa upande wa burudani Msanii Dully sykes atakuwepo katika kusababisha burudani nzito na nyimbo kibao,aidha burudani ya bendi mbalimbali na vikundi vya sanaa za utamaduni vitakuepo ambapo kiingilio kitakuwa 30,000.= kwa VIP NA viti vya kawaida ni 10,000/= Tu.
Milango ya ukumbi itakuwa wazi kuanzia saa mbili usiku ambapo shoo ikianza muda huo

Gazeti lako la Dira sasa lipo mtaani

 Gazeti lako la Dira sasa lipo mtaani tena leo kwa kwa Tsh. 500/= tu. Pata nakala yako sasa

Thursday, June 9, 2011

ISANGA FAMILY WAACHIA SHOW KAZI.

Wasanii wa kundi la ISANGA FAMILY

wakiongea na mtoto wa kitaa wasanii wa hip hop (ISANGA FAMILY) walisema kkuwa wameachi ngoma yao mpya waliyoipa jina la SHOW KAZ. mpango mzima ukiwa umefanyika pale Mandugu digita kwa mkushirikiana na Fiscrub huku ikiwa ni mikone ya mtumzima Dunga na Lamar.

Tuesday, June 7, 2011

MCHEZO WA NGUMI ILALA WAENDELEA KUHAMASISHA

Bondia Mohamed Matibwa wa Matimbwa Boxing akitupa konde bila ya mafanikio kwa Ibrahimu Class wa Amana Boxing 'Class' alishinda kwa K,O raundi ya nne wakati wa mpambano wa kuhamasisha mchezo wa ngumi mkoa wa Ilala uliofanyika katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.
Bondia Yakubu Abdulhamani (kulia) akirusha makonde kwa mpinzani wake Halili Hamisi wa Matimbwa wakati wa mchezo wa kuamasisha ngumi mkoa wa ilala Dar es salaam leo Hamisi alishinda kwa point. (Picha na Mpipicha Wetu)


Monday, June 6, 2011

KAJUMULO WORLD SOCCER TANZANIA LTD REGIONAL MGR JOB DESCRIPTION

HI FELLOW TANZANIANS,
 
THANKS FOR THE OVERWHELMING RESPONSE.  HERE IS A SHORT DESCRIPTION OF THE DUTIES AND REQUIREMENTS FOR THE REGIONAL MANAGER POSITIONS.  I WILL BE HIRING ONE REGIONAL MANAGER FOR EACH OF THE 22 REGIONS IN TANZANIA.
 
1.  YOU MUST BE RESIDENT FOR AT LEAST ONE YEAR IN THAT REGION.  YOU MUST KNOW THE REGION AND BE VERY FAMILIAR WITH IT.
2.  YOU MUST BE A UNIVERSITY GRADUATE OR HAVE AT LEAST 3 YEARS OF BUSINESS EXPERIENCE WITH EXCELLENT REFERENCES.
3.  YOU MUST SPEAK, READ, AND WRITE ENGLISH FLUENTLY.
4.  YOU MUST HAVE A VALID TANZANIA PASSPORT.
5.  YOU MUST BE AN ACCOMPLISHED COMPUTER USER, ABLE TO USE THE INTERNET, EMAIL, SOCIAL NETWORKING (LIKE FACEBOOK, TWITTER, ETC) ANDMICROSOFT WORD AND EXCEL.  EXPERIENCE WITH PHOTOSHOP OR ILLUSTRATOR IS BENEFICIAL.
 
YOU MUST SEND A PAPER APPLICATION TO THE PO BOX ADDRESS.
 
DO NOT SEND AN EMAIL.  I WILL NOT READ APPLICATIONS SENT BY EMAIL.
 
SELECTED CANDIDATES WILL TRAVEL TO THE U.S. DURING THE FIRST YEAR OF EMPLOYMENT FOR BUSINESS AND SPORTS MARKETING TRAINING.
 
MAIL COVER LETTER AND RESUME TO:
 
KAJUMULO WORLD SOCCER TANZANIA, LTD.
ATTN:  HUMAN RESOURCES MANAGER
PO BOX 75935
DAR ES SALAAM TANZANIA

Wednesday, June 1, 2011

RAHA JIPE MWENYEWE (USINGIZI HAUNA SWAGA)

Jamaa huyu alikutwa na kamera ya mtoto wa kitaa akiuchap usingizi mitaa ya posta