Bw.Henry
Kilewo akiwa na watuhumiwa wenzake wa mashtaka ya Ugaidi yanayowakabili
wakati walipofikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoani Tabora kwa mara
ya kwanza
Wanachama
wengine wa Chadema ambao wanahusishwa katika mashataka hayo ya Kigaidi
ambapo imedaiwa kuwa watuhumiwa walifanya makosa hayo ya Ugaidi na
kumjeruhi Bw.Mussa Tesha ambaye ni mwanachama wa CCM wakati wa kampeni
za uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga mnamo tarehe 9/9/2011 katika
msitu wa Hanihani huko wilayani Igunga.
Kamanda
Henry Kileo akiwa ndani ya gari pamoja na wtuhumiwa wenzake wanne
wakisubiri kupelekwa Gereza la Mahabusu hadi watakapoletwa tena
Mahakamani hapo mnamo tarehe 8/7/2013.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries
Limited (TDL), David Mgwassa, akionesha kinywaji cha Afrika Kusini
kilichofungwa kwenye viroba kama ambavyo Konyagi inafanya hapa
nchini.Vinywaji kama hivyo vipo karibu nchi nyingi Ulimwenguni. Meneja wa Masoko wa Konyagi, Joseph Chibehe akielezea jinsi vinywaji vyao vinavyochangia mapato ta serikali Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo,Maji na Mifugo, Said
Nkumba akichangia mada hiyo kwa kuviasa baadhi ya vyombo vya habari
kuacha kuandika habari za kudidimiza viwanda vya haba nchini. Kulia ni
Idd Azzan Mbunge wa Kinondoni na Dunstan Kitandula ambaye ni Makamu
Mwenyekiti was Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara. Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amos Makala,
akichangia mada katika semina hiyo. Kushoto ni Naibu Waziri wa TAMISEMI,
Kassim Majaliwa na Said Nkumba. Meneja Masoko wa Konyagi, Joseph Chibehe (kushoto) akimkabidhi W.
Zuberi msaada wa vyerehani, ambavyo alivipokea kwa niaba ya BNaibu
Spika wa Bunge, Job Ndugai
Baazi
ya wasanii wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabiziwa tuzo zao
za kwanza kwa mwaka 2012 zilizozaminiwa na kampuni ya steps
Mkurugenzi wa
Kampuni ya Steps, Diresh Solanki akimpa tuzo msanii bora wa kiume katika
tasnia ya filamu nchini Jacob Stevin JB wakati wa utoaji wa tuzo hizo
zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudguliwa na wasanii wengi
nchini hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa
zikitolewa kila mwaka. Msanii Stiv Nyerere akipokea Tuzo Mzee Majuto akipokea Tuzo ya msanii bora wa uchekeshaji MPIGA PICHA mOHAMED aralakia ZA KAVA MBALIMBALI ZA KAMPUNI YA STEPS AKIPOKEA TUZO Picha Zote na www.burudan.blogspot.com
Msanii wa muziki wa kizazi Langa Kileo amefariki dunia leo jioni pale hospitali ya Muhimbili alipokuwa anapata matibabu ya ugonjwa Malaria uliokuwa ukimsumbua. Langa ni msanii aliyetokea kwenye mashindano ya vipaji yaliyojulikana kama Coca Cola Pop Star, ambapo waliibuka washindi watatu akiwamo Langa, Shaa na Witness kwa pamoja waliunda kundi la WAKILISHA. Katika kundi hilo, Langa na wenzake walifanikiwa kutoa nyimbo kadhaa ambazo zilitamba sana kwenye vituo vya Radio na Television.
Bondia Patrick Anthony Kavako 'Baunsa' wa Morogoro ametamba kumsambalatisha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao wa raundi nane utakaofanyika siku ya jumapili june 16 katika ukumbi wa panandi panandi uliopo Ilala Bungoni Dar es salaam
Akizungumzia mchezo huo Kocha wa Kimataifa ambaye ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D' alisema
kuwa mpambano huo ni wa kukata na shoka ambao si wa kukosa kwani kila
mmoja amejitahalisha kivyake hivyo wasubili tu siku ya mpambano huo
Unajua morogoro na Dar es salaam ni mahasimu katika michezo yote
ukiangalia na sasa wamekutanishwa vijana katika masumbwi hivyo kila
mmoja anaitaji ushindi ili ajiongezee rekodi yake kwani 'King Class
Mawe' ato kubali kupigwa na Kavako ato kubali kabisa kupoteza mpambano
wake kiraisi kwani na yeye anaitaji ajulikane katika ulimwengu wa
masumbwi na kuiperekea sifa morogoro kama ilivyo kwa mabondia wengine
wanao tamba mkoani hapo
Mpambano
huo ulioratibiwa na Kinyogoli Fondition kwa kushlikiana na PST itakuwa
chachu kwa vijana kuendelea kuupenda na kuucheza mchezo huo unaopendwa
na wengi nchini
mbali
ya mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka bondia
Abuu Mtambwe ataoneshana umwamba na Kassim Gamboo na Bondia mkongwe
kabisa Yohana Robart atamenyana na Mussa Sunga
Ijumaa
na j'mosi hii, malejendari tunakutana tena isumba lounge.. zamani
jollies club. Tunapata oldies, old scul, raga, rumba, chacha na
nyinginezo kibao. Vile vile tutakuwa na special moment of silence na
dakika 30 dedicated to the King of Free Style Cowboy Albert Mangwea;
with yours truly DJ JD , DJ Fast Eddy na DJ Young Kelvin. Entry 10k,
doors open 9pm. Karibu