Tuesday, November 30, 2010

PATA KITU KUTOKA KWA WATENGWA WA A-TOWN - SIO LAZIMA.

JIUNGE,JISAJILI NA USHINDE NA VODACOM

http://2.bp.blogspot.com/_PnI9d8LAaQQ/TOxBWzt8K3I/AAAAAAAAV6s/VSVB-4qPZkw/s1600/image002.jpg
Fika kwenye moja ya Vodashop zifuatazo na ununue laini mpya ya Vodacom, jisajili na ubahatike kujishindia
Tsh 100,000 za muda maongezi BURE!!

Kanda ya Pwani:

1. Vodashop Ohio - DSM
2. Vodashop Mlimani City - DSM
3. Vodashop Victoria- DSM
4. Vodashop Mtwara
5. Vodashop Zanzibar
 
Kanda ya Kaskazini:
 
1. Vodashop Uchumi House - Arusha
2. Vodashop Sokoine Road - Arusha
3. Vodashop Summit Centre - Arusha
4. Vodashop Singida
5. Vodashop Moshi

Kanda ya Ziwa Victoria:

1. Vodashop Mwanza PPF Plaza - Mwanza
2. Vodashop Mwanza Nyerere Road - Mwanza
3. Vodashop Geita - Mwanza
4. Vodashop Bukoba
5. Vodashop Shinyanga
6. Vodashop Kigoma
7. Vodashop Tabora

Kanda ya Kati:

1. Vodashop Dodoma
2. Vodashop Morogoro

Kanda ya Kusini:

1. Vodashop Mbeya
2. Vodashop Iringa
3. Vodashop Songea

Jiunge sasa na Vodacom, mtandao ulio bora na unaoendelea kuongoza kwa kutoa huduma za bei nafuu zaidi nchini kila siku na ambao haujabadilisha jina lake.

KAMANDA NGURUMO ATOKA ICU!

Mwanamuziki wa siku nyingi Mzee Makasy akimjulia hali mwanamuziki mwenzie Maalimu Muhindini Gurumo (KAMANDA) aliyelazwa hospital ya Taifa Muhimbili,Uncle Gurumo yupo wodi ya Mwaisera namba 1 kwa sasa baada ya kutoka katika chumba cha wagojwa wenye uangalizi maalumu (ICU). Kunradhi kwa picha haionekani vizuri.Picha na mdau Rajab Mhamila.
Globu ya Jamii inamtakia Kamanda Gurumo nafuu ya haraka na inatoa wito kwa wapenzi wa muziki kujitokeza kumsaidia mzee wetu huyu ambaye ni mmoja wa wanamuziki wachache waliosalia wakiendeleza fani kwa weledi wa hali ya juu huku ukikuza vipaji vipya kwa wakati huo huo.
Mwanamuziki wa siku nyingi Mzee Makasy akimjulia hali mwanamuziki mwenzie Maalimu Muhindini Gurumo (KAMANDA) aliyelazwa hospital ya Taifa Muhimbili,Uncle Gurumo yupo wodi ya Mwaisera namba 1 kwa sasa baada ya kutoka katika chumba cha wagojwa wenye uangalizi maalumu (ICU). Kunradhi kwa picha haionekani vizuri.Picha na mdau Rajab Mhamila.
Globu ya Jamii inamtakia Kamanda Gurumo nafuu ya haraka na inatoa wito kwa wapenzi wa muziki kujitokeza kumsaidia mzee wetu huyu ambaye ni mmoja wa wanamuziki wachache waliosalia wakiendeleza fani kwa weledi wa hali ya juu huku ukikuza vipaji vipya kwa wakati huo huo.

WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 KUWEKWA HADARANI LEO DESEMBA1

Unique Model Event Comming Soon!!
Unique Model Event Comming Soon!! 
WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 WANAWEKWA HADHARANI LEO JUMATANO HII KATIKA HOTELI YA GIRAFFE OCEAN VIEW MBELE YA WAANDISHI WA HABARI KATIKA PRESS CONFERENCE YA KUTAMBULISHA WASHIRIKI NA WADHAMINI PAMOJA NA KUTANGAZWA KWA RATIBA NZIMA YA SHUGHULI KUANZIA WASHIRIKI KUINGIA KAMBINI MPAKA SIKU YA TUKIO LENYEWE!

Wednesday, November 24, 2010

KAA TAYARI KWA UJIO MPYA WA MTU MZIMA QJ.

QJ
Hapa ni siku yake ya harusi

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu mnsanii Qj al;iyetamba kipindi cha nyuma na ngoma kama vile sifai na nyingine nyingi tu akiwa kwenye kundi la wakali kwanza sasa anakuja na ngoma yake mpya aliyoipa jina la NISAMEHE aliyomshirikisha Pipi.
Qj aliyasema hayo pale alipofanya mahojiano na mtoto wa kitaa na kuweka bayana kuwa ameamua kuachia ngoma hiyo kutokamna na kuwa kimya kwa muda mrefu kwasababu ya kufanya show nyngi mikoani.

NISAMEHE ni ngoma iliyoifanyika chini ya projuza TC kutoka katuika studio za 69.

Mtu mzima Qj pia hakusita kuweka wazi kuwa hiyo ndio ngoma yake ya kwanza kutoa tangu alipomaliza mkataba wake na MJ rec. “kaka nimeamua kuachia hii ngoma ambayo ndio itakuwa yakwanzqa tangu nimalize mkataba na MJ rec. sa watu wategemee vitu vizuri tu zaidi ya vile vya mwanzo kwani nimejipanga vya kutosha mzazi!”
Kuhusu kujaza mkataba na lebo nyingine mtu mzima QJ alisema hivi “kwa sasahivi naweza kusema sihitaji kuwa kwenye lebo yeyote ila ikitokea lebo itakayokuwa na mslahi zaidi ya ninanyotaka mimi basi nitakuwa sina budi kingia nao mkataba”
“Cha msingi ni maslahi tu kaka ndio tunayohitaji!” aliongeza QJ.
Akiiongelea NISAMEHE mtu mzima QJ alisema kuwa humo ndani anamzungumzia mshikaji aliyekua akimpotezea demu wake kwakua aliona kama dizaini demu amezimika kwake kwani alikuwa akimpa kila kitu lakini baadae demu alivyoamua kukata tamaa ikabidi mshkaji arudi kuomba msamaha.


KAA TAYARI KWA UJIO MPYA WA MTU MZIMA QJ.

M BAND WAKIWA KWENYE MAZOEZI TAYARI KWA SHOO YA KESHO ITAKYOFANYIKA MZALENDO PUB.

Sule Junior kama kawa niliwakilisha watoto wa kitaa pande zile kwenye mazoezi.
Hapa kati mtoto Tecla na Grace Matata wakitoa mavoko
Hapa mtu mzima Duke akiseti mpango mzima wa saundi
Duke akiwaelekeza vijana wake kukimbizana na tempo ya nyimbo!
Mpango mzima ukisimamiwa na mtu mzima Duke ambae ndio producer wa studio za Music Lab