Friday, November 19, 2010

WABUNGE WA CHADEMA WALIVYOTOKA NJE YA BUNGE JANA KWA MADAI YA KUTOMTAMBUA MH. RAIS

Wabunge wa CHADEMA wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge wakati Rais Jakaya alipoanza kulihutubia Bunge. Kimsingi, chanzo cha wabunge hao kuchukua hatua hiyo ni kutokana na tamko rasmi la chama hicho kupinga matokeo ya kura za urais katika uchanguzi mkuu wa mwaka huu .Wabunge hao walitoka nje na kwenda katika ukumbi wa nje na kuanza Kikao chao kivyao vyao.

No comments:

Post a Comment