Saturday, April 30, 2011

BREAKING NEWS!!: KR MULLA AMTOSA FELLA, ARUDI KWA JUMA NATURE
Msanii mahiri wa kundi la Wanaume Family Rashidi Ziada aka KR Mulla ameamua kurudi na kufanya kazi na Juma Nature ambaye alitengana nae kwa kishindo miaka michache iliyopita. Haya yanathibitishwa na yeye mwenyewe na Juma Nature walipokuwa wakizungumza mchana huu.
Katika mazungumzo hayo ambayo mtoto wa kitaa aliyadaka , KR alidadavua kwamba kwa sasa atakuwa na Juma Nature na Dollo na tayari leo wanafanya 'makamuzi ya kufa mtu'mjini Tanga wakiwa wamepelekwa huko na promota maarufu hapa Bongo anayeitwa Mengi. Wasanii hao walifanya kazi kubwa mwaka 2003 wakiwa na kundi la Wachuja Nafaka na mwaka 2004 wakaamua kuunda kundi la Wanaume Famili ambapo miaka michache Juma Nature na Dolo walijitoa na kuunda kundi la wanaume Halisi huku Juma Nature akimshutumu meneja wa kundi la Wanaume Family anayeitwa Saidi Fella kwamba kamdhulumu mapene kibao. Haya banah! SULE' INC. & ENTERTAINMENT  na timu nzima ya Blog ya Mtoto wa kitaa inawatakia kila la kheri kwenye safari yenu ya muziki.

HAWA HAPA NDIO WATAKAOLITIKISA JUMBA LA BIG BROTHER AMPLIFIED 2011.


Another exciting new development this season is that Sunday's Launch Show will be going multi-media!
There will be live streaming of the two-hour opening on the official website at no cost, marking the first time in the history of the African series that this has happened!
And for audiences who log on early, there’s a special 15 minute pre-show exclusive to online audiences that begins at 18:45 CAT on Sunday 1 May.

Watch Online from Anywhere
So whether you’re watching online or whether you are watching on DStv, make sure you don’t miss the start of Big Brother Amplified.
Big Brother Amplified starts on DStv Channel 198 on Sunday, 1 May at 19:00 CAT.
The series is available 24/7 to DStv Premium, Compact Plus and Compact subscribers.
The series' headline sponsor is Coca-Cola and it is produced for M-Net by Endemol SA.
Big Brother Amplified will also be available on DStv Mobile in Ghana, Kenya, Namibia and Nigeria.

 
Bhoke
Age 26
Hometown Dar es Salaam, TANZANIA
Occupation TV Broadcaster
 
Confidence
Age 37
Hometown Accra, GHANA
Occupation CEO of MultiMedia Company / Aphrodisiac Nightclub
 
Hanni
Age 22
Hometown Addis Ababa, ETHIOPIA.
Occupation Singer and Student
 
Herminio
Age 32
Hometown Maputo, MOZAMBIQUE
Occupation Rapper and Radio Host
 
Jossy
Age 28
Hometown Windhoek, NAMIBIA.
Occupation Recording Artist / Marketing,Sales and Ad Manager
 
Lomwe
Age 27
Hometown Blantyre, MALAWI
Occupation Radio and Club DJ
 
Luclay
Age 28
Hometown Cape Town, SOUTH AFRICA
Occupation Actor / Acting Coach
 
Millicent
Age 28
Hometown Nairobi, KENYA.
Occupation Actress
 
Mumba
Age 24
Hometown Lusaka, ZAMBIA
Occupation Radio DJ
 
Sharon
Age 25
Hometown Kampala, UGANDA
Occupation Artist / Musician
 
Vimbai
Age 24
Hometown Harare, ZIMBABWE
Occupation Model
 
Vina
Age 26
Hometown Lagos, NIGERIA
Occupation Radio Presenter
 
Weza
Age 26
Hometown Luanda ANGOLA
Occupation TV Presenter, Model
 
Zeus
Age 24
Hometown Gaborone, BOTSWANA
Occupation Entrepreneur, Artist, Marketer

Thursday, April 28, 2011

Y-NAME ALIPOJIACHIA KATIKA UPIGAJI WA VIDEO YAKE YA NIPE JAPO KIGO

Picha ya pamoja ya Linex na Y-Name
Hapa Linex akiimba kiiyikio!
Hapa Y - Name akipigwa picha wakati akiimba!
Y- Name akijadiliana jambo na Linex ambae ameshirikishwa kwenye nyimbo hiyo
Y- Name akiwa na mrebo mmoja hivi jinalake limwhifadhiwa kwa sababu maalum

Wednesday, April 27, 2011

ILIKUWA KATIKA B'DAY YA MTOTO WAKITAA

Hii ndio keki iliyoandaliwa na mdo wangu kipenz Mariam Lyeme (Mam Suley)
Hapa nkikaribisha wadau kula kitu cha keki
Hapa MC wa shughuli hiyo alikuwa akimuelekeza jinsi ya kufanya huku yeye akijaribu kumtumia sms mshikaji wake Othman Michuzi kumwambia kuwa muda wa kike umefika, hivyo ajitahidi kuwahi.
Dada Mariam akimuelekeza kaka yake jinsi ya kukata keki.


Wakati Dada Mariam akijaribu kumsaidia kukata na kuweka kwenye sahani aliona ni vyema akaanza kuionja kwanza.

Dada Mariam nae hakuwa nyuma kumlisha kaka yake.
Hapa ilikuwa ni utata tupu, maana Sule Jr anataka kumlisha mwanadada Minna huku na yeye akitaka kumlisha.
Mmiliki wa Blog ya Habari na Matukio hakuwa nyuma kulishwa keki huku Mina akifuatilia.
Akimlisha mtoto mwenzake.
Mc George nae hakuwa nyuma.
Simoni ambaye alikuwa ndiye mc wa shughuli akilishwa keki kwa staili ya namna yake.
Watoto wakifurahia.
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliofika katika kunipa sapot katika B'day yangu
Kuanzia kukushoto ni Mam Suley, Sule Junio a.k.a Mtoto wa kitaa na Cathbert Angelo
Sule Junior na Mina Suleiman wakifurahi kwa pamoja
Kuanzia kulia ni Slim kutoka Kiumbe Video Production, Sule Junio na mwanagu wa kitaa Salum
Kuanzia kulia ni Sule junior, Dj SB na One Biznezz
Mdada wangu wa kitaa Elizabeth Barden na mimi Sule Junior tukishoo lav
Hapa nipo na maDJ kutoka times fm Kuanzia kulia ni Dj One Biznez, Sule Junio, Dj SB na DJ Spesso
Kutokea kulia hapa ni Sule Junior Slim kutoka Kiumbe video Production na Dj Spesso
Minna na Sule Jr.kutoka kulia ni Hussein, Sule Jr na Cathbert Angelo ambaye ni mmiliki wa Blog ya Habari na tukio.Sule Junior akiwa na dada zake.

Monday, April 25, 2011

UJUMBE WA LEO KUTOKA KWA ALEX KAJUMULO


Today is World Malaria Day.  I know this is not a Westerner problem, but it is a Global Problem.  The death and damage caused by Malaria in Africa and other tropical nations have consequences for the entire world.  Every day 2000 children (under 5) die from malaria - every 5 minutes one person dies.  I know you are all people who care about humanity.  Help me spread the word about the fight against Malaria.  But the song, listen, play it for your friends, make a ringtone for your phone.  This issue is very personally important to me, I have seen a lot of people in my life die from malaria.  Please help me spread the word about the dangers of Malaria on World Malaria Day, April 25th.  (and even after!).  So many people don't know about this day because the Western media doesn't see malaria as an important issue.  It is up to us to spread the word.  Next year everyone around the world will know about World Malaria Day and will have heard my song.  Help me make this happen.

Here are many places you can find the song:

Saturday, April 23, 2011

JMJ Star KIFAA KIPYA KWENYE GEM!

Kifaa hiki ni kipya kwenye gem la muziki wa kizazi kipya! Anaitwa JMJ Star apiga shughuli zake za kimuziki pande za mbeya mjini. Amshatoa ngoma na kwa sasa inakimbiza sana pande zile na ndio anampngo wa kaunza kuisambaza kwenye Radio Station za bongo na Tanzania kwa ujumla. JMJ Star anaomba sapot kwa wadau wote na masabiki kwa ujio wake.