Wednesday, April 27, 2011

ILIKUWA KATIKA B'DAY YA MTOTO WAKITAA

Hii ndio keki iliyoandaliwa na mdo wangu kipenz Mariam Lyeme (Mam Suley)
Hapa nkikaribisha wadau kula kitu cha keki
Hapa MC wa shughuli hiyo alikuwa akimuelekeza jinsi ya kufanya huku yeye akijaribu kumtumia sms mshikaji wake Othman Michuzi kumwambia kuwa muda wa kike umefika, hivyo ajitahidi kuwahi.
Dada Mariam akimuelekeza kaka yake jinsi ya kukata keki.


Wakati Dada Mariam akijaribu kumsaidia kukata na kuweka kwenye sahani aliona ni vyema akaanza kuionja kwanza.

Dada Mariam nae hakuwa nyuma kumlisha kaka yake.
Hapa ilikuwa ni utata tupu, maana Sule Jr anataka kumlisha mwanadada Minna huku na yeye akitaka kumlisha.
Mmiliki wa Blog ya Habari na Matukio hakuwa nyuma kulishwa keki huku Mina akifuatilia.
Akimlisha mtoto mwenzake.
Mc George nae hakuwa nyuma.
Simoni ambaye alikuwa ndiye mc wa shughuli akilishwa keki kwa staili ya namna yake.
Watoto wakifurahia.
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliofika katika kunipa sapot katika B'day yangu
Kuanzia kukushoto ni Mam Suley, Sule Junio a.k.a Mtoto wa kitaa na Cathbert Angelo
Sule Junior na Mina Suleiman wakifurahi kwa pamoja
Kuanzia kulia ni Slim kutoka Kiumbe Video Production, Sule Junio na mwanagu wa kitaa Salum
Kuanzia kulia ni Sule junior, Dj SB na One Biznezz
Mdada wangu wa kitaa Elizabeth Barden na mimi Sule Junior tukishoo lav
Hapa nipo na maDJ kutoka times fm Kuanzia kulia ni Dj One Biznez, Sule Junio, Dj SB na DJ Spesso
Kutokea kulia hapa ni Sule Junior Slim kutoka Kiumbe video Production na Dj Spesso
Minna na Sule Jr.kutoka kulia ni Hussein, Sule Jr na Cathbert Angelo ambaye ni mmiliki wa Blog ya Habari na tukio.Sule Junior akiwa na dada zake.

1 comment:

  1. kwahyo suphian na pacha wake waliokuja kwenye pat h,sura zao haziuzk kwenye blog yako??????????????????

    ReplyDelete