Thursday, April 7, 2011

ILIVYOKUWA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS MCHANA WA LEO

Mtu mzima Kibanda akizungumza na vijana kutoka DIRA MEDIA GROUP
Mrembo Elizabeth kutoka mitaa ya kawe
Michuzi Jr akiwa katika harakati za kupata matukio
Kitu cha matuta
Tunda man ndio alikuwa golkipa wa timu ya mashabiki wa Liverpool
Kibonde akiwa anaripoti matukio live kutoka viwanja vya Leaderz
Huyu nae alikuwepo!


.......ILIFIKA MUA WA KUJIACHIOA NA KAMERA YA MTOTO WA KITAA........
Wasanii kutoka tamthilia ya 69 rec. nao walikuwepo
Dj Fetty kutoka CLOUD FM
Masanja Mkandamizaji nae alikuwepo
PJ (kulia) kutoka CLOUDS FM / TV akiwa na mrembo
Michuzi Junior (kushoto) kutoka blog ya jiachioe akiwa na Jimmy Charles kutoka DIRA MEDIA GROUP
Sule Junioa (mtot wa kitaa) (kulia) akiwa na Michuzi Junior (kushoto) kutoka blog ya jiachie
Mrembo muna kutoka mitaa ya kati
Rais wa Real Madrid
Sule Junior (kusoto) nikiwa na Othman Michuzi kutoka blog ya Mtaa kwa Mtaa
kutoka kushoto ni Jimmy Charles, Happy Moyo kutoka Dira media Group na mwisho ni Sule Junior
PJ (kushoto) akiwa Ephraim Kibonde, wote kutoka Clouds FM
Sule Junior (kushoto) akiwa na mrembo Vai kutoka pande za Kurasini
Dina Marios (kushoto) akiwa na Ruben Ndege a.k.a Ncha Kali wote kutoka CLOUDS FM

Msanii kutoka 69 rec. akiwa amepoz na Sule Jr a.k.a mtoto wa kitaa
 
Wanachama wa vilabu mbalimbali hapa nchini wakiwa kwenye  kwenye viwanja vya Lidaz Club,kwa ajili ya Bonanza la Serengeti Fiesta soka bonanza, yote hiyo ikiwa ni maandalizi ya kuelekea tamasha kubwa la Serengeti Fiesta 2011. Yameletwa kwenu kwa hisani/udhamini mkubwa wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd.Hivi sasa mashabiki wa vilabu hivyo walikuwepo pale kwenye viwanja vya Lidaz Club wakichuana vilivyo.

No comments:

Post a Comment