Wednesday, June 25, 2014

KAMERA YA MTOTO WA KITAA ILIMMULIKA MDAU MKUBWA WA BURUDANI NA MSANII MKONGWE WA MUZIKI, JOHN KITIME

Mdau, John Kitime akiwa Katika Viti vya nyuma kabisa kwenye moja ya makongamano ya sanaa jijini Dar es Salaam

Wednesday, June 18, 2014

"VIDEO" TZ ALL STARS - TUULINDE MUUNGANO

THE SWAGA IS ON!!! MANGWEA IS BACK?!?!?!.............

Duniani ni wawili wawili huwezi kuamini vile jamaa alivyofanana na Marehemu Ngwea, FULL SWAGA za Mangwea, kama kukop na kupest (jamaa huyo wa kulia mwa kila picha, hebu mcheki mwenyewe)

Tuesday, June 17, 2014

PSPF KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA JUU YA MAFAO WAYATOWAYO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA

BAADHI YA MAOFISA KUTOKA MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA Umma 'PSPF' WAKIWA TAYALI KUWASIKILIZA WATU MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA


Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia  akimpatia maelezo Bw,Arbogast Nzeyimana wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma

Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia na ofisa wa mfuko huo Bi, Leila Laizer wakimpatia maelezo Bw,Kambilo Crement wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma

Ofisa masoko wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Bi, Rahma Ngassa kulia akimpatia mahelezo mmoja ya wananchi waliofika kutembelea banda lake Bw.Ahmed Sendi wakati wa mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma inayoendelea katika viwanja vya mmnazi mmoja Dar es salaam. Picha na mpiga picha wetu

Afisa wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma Bi, Leila Laizerkulia akisalimiana na mtumishi wa manspaa ya Temeke idara ya maendeleo ya jamii Bw.Emanuel Hinjo alipotembelea banda hilo katika mahazimisho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam

Saturday, June 7, 2014

PIGO JINGINE KWA TASNIA YA FILAMU TANZANIA, MZEE SMALL AFARIKI DUNIA


Ni pigo jingine tena kwenye tasnia ya maigizo (filamu) hapa nchini kwani mwigizaji na mchekeshaji mkongwe, Saidi Ngamba maarufu kama Mzee Small amefariki usiku wa kuamkia leo majira ya saa nne usiku katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kifo chake kimethibitishwa na mwane, Mohamed na msiba utakuwepo nyumbani kwa marehemu Tabata, Jijini Dar es Salaam.
Timu nzima ya SULE'S INC. na Blog ya MTOTO WA KITAA tunatoa pole kwa familia, wasanii na taifa kwa jumla kwa kufikwa na msiba huu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema pepooni aamin.
(INNA LILLHAI WA INNA ILAIHI RAAJIUN)