Sunday, April 10, 2011

HAPPY BIRTHDAY MDAU CATHBERT ANGELO KAJUNA A.K.A MZEE WA KATE.....


Habari Mkubwa,
Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mungu Kwa kuniwezesha nifikisha siku ya leo, ambayo naadhimisha siku yangu ya kuzaliwa, hakika yeye ni mwema.
 Pia napenda kuwashukuru wazazi wangu hasa mama yangu mpendwa, mpenzi wangu, ndugu, jamaa na marafiki kwa ushirikiano wao ambao nimekuwa nikiupata hadi leo hii. 
Nawapenda sana na kuwajali sana.
 Mungu atubariki na kutulinda daima, 
Amen.

No comments:

Post a Comment