Saturday, April 2, 2011

BUSMAN LBAMBA YAITEKA NCHI ZA LATIN AMERIKA

Alex Kajumulo a.k.a Babu Kaju

Ngoma iliyofanyika muda mrefu sana tangu enzi za uhai wa MTOT WA DANDU umeachiwa hivio karibuni na umetaka vituo vingi vya redio katika nchi za latin America akiuelezea wimbo huo Alex Kajumulo (Babu Kaju) ambae ndio mwimbaji na mmliki wa wimbo huo alisema 
....NIMETENGENEZA WIMBO HUU NA MTOTO WA DANDU COOL JAMES KABLA AJAFA NA NIMEUTOA MWAKA HUU KWENYE ALBAM INAYO ITWA NEVER SURRENDER , ALIYE PIGA SAKISA FONI NI NAJEE AMBAYE AMESHINDA MARA MBILI2 GRAMMY AWARD WINNER NA NI FOUNDER OF SMOOTH JAZZ  WIMBO SASA HIVI UNAPIGWA KWENYE REDIO ZA NCHI KARIBU ZOTE ZA LITINI AMERICA NA KWA SASA NI NAMBA MOJA QUBA CHILE NA KWENYE MADISIKO YA LITINI AMERICA.
Ka vipi usikilize wimbo huo hapo pembeni kwnye playlisi ya mtoto wa kitaa

No comments:

Post a Comment