Saturday, April 2, 2011

BIFU ZITO LAIBUKA KATI YA NEY (wa mitego) Vs SHAROBARO (wapaka poda a.k.a wabana pua)


Wadodosaji katika duru la muziki wamesema hii itakua chuki ya kudumu kufatia mistari ya msanii wanamuziki wa kizazi kipya ney (wa miego) kuwachana vikali machekibobu wa shalobalo kwa kusema kuwa sharobaro ni mashoga wa ulaya wanaolilia kuolewa. mistari hii inaptikana katika ngoma yake ya NAJIAMINI. 
Ka vipi isikilize apo pembeni kwenye playlist za mtoto wa kitaa

No comments:

Post a Comment