Sunday, April 10, 2011

AJALI YA ASUBUHI NA MAPEMA

Habarini za asubuhi wadau wangu wote!? na imani wikiend iilikuwa pouwa kabisa. naomba tuwe waangalifu sana katika kuendesha mhaya magari yetu kwa maana ajali nyingine ni za kizembe sana! hii ajali nimeishuhudia wakati nipo naaelekea ofisini asubuhi hii pale mikocheni karibu na shule ya Feza. Huu ni uzembe wa dereva!

No comments:

Post a Comment