Thursday, April 7, 2011

IN THE MAKING VIDEO OF SAIDAWG - GHETHOKING

Saidawg akipigwa picha
Kama kawa watu tulijipanga vya kutosha!
Hapo vcipi?
Kila mmoja bize kiaina
Saudawg akiwa kwenye action.
Mishe za kipolisi pia zilikuwepo.
Mmemuona Tozi wa kitaa!?!
Kitu cha kusheki pia kilikuepo!
Sule Junior
 
Sule Junior (kulia) nikiwa na TDX
Baada ya kumaliza kazi watu walipumua kidogo chini ya mti!

No comments:

Post a Comment