Tuesday, April 5, 2011

MOST WANTED!!!!!!!!!

Huyu jamaa anajulikana kwa jina la ALEX PETER (Father P.)mara ya mwisho nilimuona kwenye tamasha la MKALI WA RYMES. sasa sijui kapotelea wapi! wanabongofleva kama kiuna mtu ana mawasiliano na huyu jamaa tuwasiliane ili nimapte aweze kutuambia ni kipi kilichomkuta mpaka amekimbia gem!

No comments:

Post a Comment