Thursday, November 4, 2010

DIAMOND ATAMBULISHWA URBAN PULSE

Diamond akiwa Bond Street, London, Uingereza
Mkuu wa u utawala Bi Carol Chipeta na Diamond
Mh Balozi Kallaghe, Diamond na Kaimu Balozi Chabaka Uingereza

Frank, Balozi Kallaghe, Diamond, Kaimu Balozi Chabaka, Baraka na Nocha.


Salam,

Baada ya Kuwasili ndani ya UK jumanne jioni Urban Pulse walimpeleka Msanii Mahiri wa Kizazi Kipya Diamond aka mzee wa Mbagala katika ubalozi wa Tanzania hapa jijini London kumtambulisha na kutoa Salam kwa Mh Balozi, Naibu Balozi na pamoja na staff wake. Diamond ametua kwa ajili ya Kufanya Urban Tour dhidi ya malaria. Show ya kwanza itafanyika jumamosi hii hapo ndani ya mji wa MILTON KEYNES CLUB OPUS ikifuatiwa na THE CLUB CROYDON 12/11.NYOTE MNAKARIBISHWA,
URBAN PULSE CREATIVE

No comments:

Post a Comment