Wednesday, November 10, 2010

SHEIN AKIMUAPISHA MAALIM SEIF.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi Ikulu Mjini Zanzibar jana.

No comments:

Post a Comment