Monday, November 8, 2010

Gazeti lako la Dira ya Mtanzania liko mtaani leo,wahi nakala yako mapema.

Gazeti lako mahiri la uchambuzi wa mambo ya siasa,michezo burudani na mengineyo likiwa na kurasa zote za rangi, linalochapishwa na Kampuni ya DIRA MEDIA GROUP, Leo liko mtaani kwa mara nyingine tena,kama ada yake huwa limesheheni habari kibao za kusisimua.! Usikose jipatie nakala yako mapema kwa shilingi 400/= tu kwa kila kopi.

No comments:

Post a Comment