Wednesday, November 24, 2010

KAZI YA KUTAFUTA WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL IMEKWISHA.

Hii ndio iliyokuwa kumi na tano bora ya kwanza, na hapa ilikuwa ni kabla ya kutangazwa kwa kumi bora ambao ndio watakao ingia kwenye mchakato mzima wa shindano la Giraffe Unique Model
 
Hapa ilikuwa mara baada ya kumaliza kuogelea zoezi ambalo pia lilikuwa katika moja ya shindano
Baada ya kumaliza kufanya usaili mdoz na majaji walipata msosi kwa pamoja kabla ya kutangaza modoz kumi

 
Na hawa ndio mdoz kumi waliongia kwenye kinyang'anyiro cha kumpata Unique modo
Mtu mzima SULE JUNIOR a.k.a Mtoto wa kitaa nilikuwa pande zile katika kwakilisha wanangu wote wa kitaa CHIIIAAAAAAAAAAAZ!!!

No comments:

Post a Comment