Friday, November 19, 2010

KIHOM HOM HUWA NAJIACHIA PANDE HIZI NA WANANGU WA KITAA.

 Stori zinapanda lakini kama kila mmoja yuko bize na ishu zake vile!?

 Ni furaha tu mwanzo mwisho, Hapa mtu mzima Jerry akishow love kwa watoto wa kitaa.

Mpango mzima huwa ni pande za kawe, mitaa ya kanisani pale ndio tunaposababishia mating'a yote.

No comments:

Post a Comment