b..

B1

Wynem

animation

Tuesday, November 16, 2010

MCHUJO WA GIRAFFE UNIQUE MODEL NI SAA SITA MCHANA


 Ule mchujo wa kuwasaka washiriki kumi wenye bahati ya pekee kushiriki shindano lenye mvuto wa aina yake liitwalo Giraffe unique model 2010 utafanyika saa sita mchana ndani ya hoteli ya Giraffe ocean view hotel katika ukumbi wa Jety 1.tarehe 20 novemba
  Nyote mnakaribishwa mamodo wa Tanzania kuonyesha vipaji vyenu na kupata nafasi pekee yakuwa super fashion model wa Tanzania mwaka 2010.

No comments:

Post a Comment