Tuesday, June 18, 2013

KONYAGI YAWAPIGA MSASA WABUNGE KUHUSU BIASHARA VIROBA

http://3.bp.blogspot.com/-JsX9FIymEWA/Ub8g4rjRlxI/AAAAAAAAguk/FOytqXnZ0bA/s1600/02.JPG
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa, akionesha kinywaji cha Afrika Kusini kilichofungwa kwenye viroba kama ambavyo Konyagi inafanya hapa nchini.Vinywaji kama hivyo vipo karibu nchi nyingi Ulimwenguni.http://3.bp.blogspot.com/-SShYDcnNV_c/Ub8g4FqVxSI/AAAAAAAAgug/WbRvTPpfUto/s1600/03.JPG
Meneja wa Masoko wa Konyagi, Joseph Chibehe akielezea jinsi vinywaji vyao vinavyochangia mapato ta serikali
http://3.bp.blogspot.com/--Pz1e6_W1sA/Ub8g86LK61I/AAAAAAAAgu8/WmBdUwMAmyc/s1600/DSC_4212.JPG
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo,Maji na Mifugo, Said Nkumba akichangia mada hiyo kwa kuviasa baadhi ya vyombo vya habari kuacha kuandika habari za kudidimiza viwanda vya haba nchini. Kulia ni Idd Azzan Mbunge wa Kinondoni na Dunstan Kitandula ambaye ni Makamu Mwenyekiti was  Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara.
http://3.bp.blogspot.com/-iw4ZYOX7eQ4/Ub8hBjiQZqI/AAAAAAAAgvY/_PFssxrK1-o/s1600/DSC_4425.JPG
Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amos Makala, akichangia mada katika semina hiyo. Kushoto ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, Kassim Majaliwa na Said Nkumba.http://3.bp.blogspot.com/-vJhu3v1-gRc/Ub8hEae9ZKI/AAAAAAAAgvw/I6iiPQ5FlTM/s1600/DSC_4560.JPG
Meneja Masoko wa Konyagi, Joseph Chibehe (kushoto) akimkabidhi W. Zuberi  msaada wa vyerehani, ambavyo alivipokea kwa niaba ya BNaibu Spika wa Bunge, Job Ndugai

No comments:

Post a Comment