Sunday, June 16, 2013

KAMPUNI YA STEPS YANOGESHA TUZO ZA BONGO MOVIE

http://2.bp.blogspot.com/-wv4BYIJbJzQ/Ub1svaHRhPI/AAAAAAAALkg/KsIne-84dq4/s1600/IMG_4760.JPG 
Baazi ya wasanii wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabiziwa tuzo zao za kwanza kwa mwaka 2012 zilizozaminiwa na kampuni ya steps
http://1.bp.blogspot.com/-kj_XBKu3nR4/Ub1qyDl1unI/AAAAAAAALjs/iOU5l3WJbPQ/s1600/IMG_4710.JPG 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps, Diresh Solanki akimpa tuzo msanii bora wa kiume katika tasnia ya filamu nchini Jacob Stevin JB wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudguliwa na wasanii wengi nchini hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa zikitolewa kila mwaka.http://3.bp.blogspot.com/-OcOdfPOnatc/Ub1okuxGnnI/AAAAAAAALig/zupLkWuNbow/s1600/IMG_4576.JPG 
Msanii Stiv Nyerere akipokea Tuzo
http://2.bp.blogspot.com/-DQqcAMtBGv4/Ub1oZlt0mcI/AAAAAAAALiY/JegofLbRb5E/s1600/IMG_4559.JPG
Mzee Majuto akipokea Tuzo ya msanii bora wa uchekeshajihttp://2.bp.blogspot.com/-0qMXxOqThTI/Ub1qrVjfYwI/AAAAAAAALjk/92himXprbJ4/s1600/IMG_4685.JPG
MPIGA PICHA mOHAMED aralakia  ZA KAVA MBALIMBALI ZA KAMPUNI YA STEPS AKIPOKEA TUZO
Picha Zote na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment