Sunday, June 16, 2013

PIGO LINGINE KWENYE MUZIKI WA BONGO, R.I.P LANGA

 
Msanii wa muziki wa kizazi Langa Kileo amefariki dunia  leo jioni pale hospitali ya Muhimbili  alipokuwa anapata matibabu ya ugonjwa Malaria uliokuwa ukimsumbua.
Langa  ni msanii aliyetokea kwenye mashindano ya vipaji yaliyojulikana kama Coca Cola Pop Star, ambapo waliibuka washindi watatu akiwamo Langa, Shaa na Witness kwa pamoja waliunda kundi la WAKILISHA.
Katika kundi hilo, Langa na wenzake walifanikiwa kutoa nyimbo kadhaa ambazo zilitamba sana kwenye vituo vya Radio na Television.

No comments:

Post a Comment