Friday, June 24, 2011

NAPE NNAUYE AKUTANA NA BAADHI YA WAANIDISHI WA BLOGS (BLOGGERS) JIJINI DAR LEO


Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na watayaraishaji wa mitaandao ya mawasiliano ya Blogu, katika ukumbi wa sekretarieti, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam. Nape aliwaita na kuzungumza nao kuhusu masuala mbalimbali ya jamii na kufahamiana nao kwa wadhifa wake. (Picha na Bashir Nkoromo).
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiendelea kufanya mazungumzo na baadhi ya Wanablogu waliofika leo katika ukumbi wa Sekretarieti,ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na watayarishaji wa mitandao ya amawasiliano ya Blogu.

No comments:

Post a Comment