Monday, June 27, 2011

FABAK FASHION NA NJEJE WALIVYOFANIKISHA USIKU WA KANGA ZA KALE.

Asia na mamodo wake.Waziri Ally akimpongeza Asia kwa ubunifu; Asia ni mwanamitindo wa kimataifa na mkongwe ktk fani hii kwa zaidi ya miaka 30 akiwa na rekodi ya kufanya maonyesho 83 nchini na 19 nje ya nchi.Modo akitoka na vazi la Khanga za kale.Supa modo wa kiume Martin Kadinda akiwa kazini.Mamodo wakila pozi baada ya onesho.

No comments:

Post a Comment