Monday, June 13, 2011

MISS KILIMANJARO NI JUNI 18.

Baadhi ya warembo wanaowania taji la Miss KILIMANJARO

WAREMBO HAO NI: Asha Mohammed,magreth simon,Halima msuyaIrene Mushi,Rose Habart,Gasper,migeshi masururu,zawadi mwambe, Glads kwayi,jennifer Robbert,Aksa Piter na Betrice SAmwel.
Mwalimu wa mazoezi niEvamary Gamba na matroni ni Victoria Benedict


shindano lenyewelitafanyika tarehe 18 juni katika hoteli ya SALSANEIRO iliypo moshi mjinimitaa ya shanti town 

Kwa upande wa burudani Msanii Dully sykes atakuwepo katika kusababisha burudani nzito na nyimbo kibao,aidha burudani ya bendi mbalimbali na vikundi vya sanaa za utamaduni vitakuepo ambapo kiingilio kitakuwa 30,000.= kwa VIP NA viti vya kawaida ni 10,000/= Tu.
Milango ya ukumbi itakuwa wazi kuanzia saa mbili usiku ambapo shoo ikianza muda huo

No comments:

Post a Comment