Wednesday, March 16, 2011

KAPITO LETAZ KURUDI UPYA KWENYE GEM.


Ni takriban miaka mitatu hiv tangu kundi la HP HOP KAPITO LETAZ(Mansu-Li&Aveli) kupotea kwenye gemu, sasa limerudi tenah. Na juma mosi hii ndio wanaachia traki yao "BADO TUPO" itakayowarudisha kwanye gem huku ndani ya ngoma hiyo wakiwa wamemshirikisha mtoto wa Salasala "GODZILLA" . ngoma imefanyika katika studio za E FATALITY INTERNATIONAL MUSIC  chini ya projuza MESEN SELEKTA. 
Timu ya mtoto wa kitaa inawatakia kila la kheri katika kuliendeza hili gemu la HIP HOP.

No comments:

Post a Comment