Monday, March 7, 2011

VOTE FOR BENJAMIN WA MAMBOJAMBO @ KILI MUSIC AWARD


Heeeey guys TANZANIA MUSIC AWARDS ,,, Piga kura kwa nyimbo mbili za Benjamini wa mambojambo, nyimbo zake ziliozoingia kwenye vinyang'anyiro ni NIMEFULIA na  MYFRIEND
na kod ya nyimbo hizo ni-: NIMEFULIA L164 na  MYFRIEND L159 ... ni rahisi tu, andika kod ya nwimbo kisha tuma kwenda 15747.
Pia unaweza kupiga kura kupitia kiungo cha mtandao huu http://www.kilitime.co.tz/awards/2009/nominees_2007.php
na http://www.teentz.com/page/kili-music-awards,Open the link then go to Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall Select L164  Nimefulia - Benjamin Wa Mambo Jambo inter your Email then Send it , please Do the same to l159 Myfriend-Benjamin,
Thanx ....MORE FIREEEEE.

No comments:

Post a Comment