Sunday, March 13, 2011

BABU KAJU AENDELEA KUSHIKA CHATI KWENYE REDIO ZA ULAYA NA NGOMA ZAKE.

Hii ni meseji iliyonifikia kutoka kwa Alex Kajumulo (Babu Kaju)

"NGOMA IMEKUA NAMBA MOJA KWA MIEZI MIWILI NIMEIANDIKA KWA AJIR IYA WATU WANAO PENDANA NA KUOANA NIMEIMBA NA MWANA MZIKI MASHUHURI WA JAMAICA INAYE ITWA SELASSIE I SOLDIER NA MUIMBAJI  MTOTO WA MWANA MZIKI MASHUHULI WA AFRICA PAPA WEMBA, RAPA NI HICH BOOM MTOTO WA MWANA MZIKI MASHUHURI DUNIAN ANAITWA  TABULE NA MPIGA GITA ZOTE MBILI NI YOU MPIGA GITA MUSHUHULI WA TABULE NA MBLIA BEL INAYE ITWA HUIT KILOS. KWA WATANZANIA WOTE WANAWEZA KUICHUKUA BURE NA KUWAPIGIA WAPENZI WAO AU WANAWEZA KUINGIA ITUNE AU AMAZONI KUSIKILIZA NYIMBO ZANGU MPAKA SASA NINA NYIBO 90 KWENYE MOSOKO NI NYIMBO 30 ZIMEKUA HIT KATIKA NCHI MBALI MBALI ZA DUNIA . WATANZANIA NAOMBA TUSAIDIANE ILI TUWEZE KUWAKA JINA LA TANZANIA  KWENYE DUNIA YA MIZIKI, KWA SASA HIVI REKODI  YANGU YA BABUKAJU INAWEZA KUWASAIDIA WATANZANIA WENGI KIMATAIFA KWA SABABU INAJULIKANA NA TUMAJITAIDI KUTOA MIZIKI MIZURI INAYO PIGWA KILA PANDE ZOTE ZA DUNIA NA RADIO NYINGI DUNIANI NI ZIMEKUA HIT. PLEASE NAOMBA UNIFIKISHIE UJUMBE HUU KWA WATANZNIA . THENKXX ONE LOVE IS LAW. WWW.BABUKAJU.COM ILI NIWEZE KUWASAIDIA WATANZANIA WENGU WENYE VIPAJI KWA SABABU NAJUA WAPO."

Isikilize ngoma yake ya Be My Wife kwenye play list za mtoto wa kitaa hapo kulia

No comments:

Post a Comment