Friday, March 11, 2011

USIKU WA M - BAND ULIVYOKUA JANA PALE BUDHABLU LONGE

Hili ndio nyomi lilokuwepo
 
Mpaka chini......  Mpaka chini...... Mpaka chini......
Jmanai msituonee gereeee!

Ilifika muda wa kujiachia na kamera ya MTOTO WA KITAA BASI ILIKUWA HIVI............
Mtu mzima 7,6 nae alikuwepo
Hawa nao walikuepoo
Mtoto wa kitaa (kulia) alijiachia na wana kama kawa
Y-Name nae alikuwepo
Kanye (mpiga kinanda kutoka M- Band) baada ya kazi alikuja kuijiachia na kamera ya mtoto wa kitaa

No comments:

Post a Comment