Thursday, March 10, 2011

BABU KAJU KUUZA VITABU VYA MICHEZO DUNIA NZIMA

Alex Kajumulo (Mwenye t-shet ya njano nyuma) akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto mara baada ya kusaini uuzwaji wa kitabu hicho

Babu kaju alinitumia ujumbe huu "MDOGO WANGU SULE! NAOMBA UWAAMBIE WATANZANIA WENZAGU KUWA NILIANDIKA KITABU CHA KUSAIDIA WATOTO ILI WALE WASIO KUA NA BABA AU MAMA WAWEZE KUPATA PESA KUCHEZA MICHEZO FAIDA INAYO PATIKINA INAKWENDA KUSAIDIA WATOTO. KITABU KINAPATIKANA KWENYE MADUKA YOTE YA VITABU USA LAKINI KINAPATIKANA KAMA UPO NJE YA USA UNAWEZA KUKIPATA AMAZON BEI YAKE NI 8.95 USD DOLA 4USD ZINAKWENDA KUSAIDIA WTOTO. NA KWASASA TUNATENGENEZA SINEMA YA KATUNI KUTOKA KWENYE KITABU ICHI. THENKXXX ONE LOVE IS LAW BY THE BUSHMAN UNAWEZA KUANGALIA KWENYE OK WATANZANIA WENZAGU NILIANDIKA KITABU CHA KUSAIDIA WATOTO ILI WALE WASIO KUA NA BABA AU MAMA WAWEZE KUPATA PESA KUCHEZA MICHEZO FAIDA INAYO PATIKINA INAKWENDA KUSAIDIA WATOTO. KITABU KINAPATIKANA KWENYE MADUKA YOTE YA VITABU USA LAKINI KINAPATIKANA KAMA UPO NJE YA USA UNAWEZA KUKIPATA AMAZON BEI YAKE NI 8.95 USD DOLA 4USD ZINAKWENDA KUSAIDIA WTOTO. NA KWASASA TUNATENGENEZA SINEMA YA KATUNI KUTOKA KWENYE KITABU ICHI. THENKXXX ONE LOVE IS LAW BY THE BUSHMAN UNAWEZA KUANGALIA KWENYE WWW.SOCCERMONSTER.ORG

No comments:

Post a Comment