Tuesday, March 8, 2011

PNC: NIMERUDI KWENYE GEMU.


Mchizi Pankras Ndaki Charles a.k.a PNC aliyetokea Mkoani Mwanza maeneo ya Pasias na kuhamia Dar es Salaam  kwa ajili ya kutafuta maisha kupitia sanaa ya muziki wa Bongo Flava alipotea kwa kipindi kirefu sasa amerudi kwenye gemu kwa kuachia sngo mpya inyaokenda kwa jila na SWAGA TU akiwa amemshirikisha mtu mzima Ney wa Mitego.

No comments:

Post a Comment