Friday, March 4, 2011

Mpigie Kura JCB Katika Tuzo Za Kili Music Award 2011
Mambo vipi wadau woote wa hii burudani ya muziki JCB ni msanii mkongwe wa hip hop anaetokea pande za ARUSHA. anawaomba wadau wote mumpigie kura  katika tuzo za Kili mwaka huu, JCB alsema hivi "kaka mambo vipi? naomba unisaidie kuwaambia wadau wote kua mimi kijana wao nawaomba wanipigie kura katika tuzo za kili za mwaka huu na niko katika category ya wimbo bora wa HIP HOP - UKISIKIA PAA. namba yangu ya ushiriki ni j180 na kuituma kwenda namba 15747.

au unaweza kumpigia kupitia internet kwa link hiyo hapo chini.


baada ya yote natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wadau wote.

No comments:

Post a Comment