Sunday, March 6, 2011

ALBUM YA RAMA DEE "CHINI YA UVUNGU WA MOYO WANGU" IPO KITAANI SASA.


 Rama D & Producer Jors Bless

Album ya Rama Dee tayari imemalizika na sasa ndo imeshaingia mtaani.
Album inaitwa "CHINI YAUVUNGU WA MOYO WANGU ", Na yote imefanyika ndani  ya studio ya "SABABISHA RECORDS isipokuwa ngoma moja tu 'MAKE UP' ambayo imefanywa na pancho latino pale B hits na track inayoitwa 'LEO' ambayo imefanywa na producer chipukizi anayeitwa  SAFI (kwenye upande wa beat) pamoja na Rama Dee....alionesha ujuzi wake zaidi ya kuimba tu..(track hii alijirecord mwenyewe)....
        Album ina jumla ya tracks 11 (kumi na moja)
zikiwemo SI WOAJI AO, MAKE UP NA NYNGINEZO!!
    Ni bonge moja ya album ya rnb......
   pia Rama dee anasambaza album yake yeye mwenyewe kwa kushirikiana na wadau mbalimbali (kwa upande wa CD's...
Kila cd itauzwa shilingi elfu tano tu!!
 kwa anyehitaji Album hii apige number...
0767 26 22 23
au
0716 61 59 58

PIA CD'S ZINAPATIKANA STUDIO SABABISHA RECORDS (SINZA) MKABALA NAMLIMANI CITY!!

No comments:

Post a Comment