Saturday, March 5, 2011

SHOW YA MAMA MIA ILIVYOKUWA @ MOVEN PICK.


Mbunifu wa mavazi nchini,Mustafa Hassanali akiwashukuru wageni waalikwa waliofika kwenye onyesho lake la MAMMA MIA,mara baada ya kumalizika kwa onyesho hilo lililokuwa na lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia uzazi salama kwa akina mama ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Moven pick jijini Dar es salaam na kushirikisha wabunifu mbalimbali wa mavazi hapa nchini na wengine kutoka nchini Uingereza.nyuma yake ni wanamitindo waliofanikisha onyesho hilo.

No comments:

Post a Comment