Tuesday, March 22, 2011

HALI YA LIBYA YAZIDI KUWA MBAYA


vifaru vya serikali vinateketea
Ndege zake za kijeshi, zimeshambulia makazi ya Kanali Gaddafi mjini Tripoli na kusababisha uharibifu mkubwa kwenye jengo moja.
Viongozi wa muugano wa majeshi hayo wanasema jengo lililoharibiwa lilikuwa linatumika kuamrisha majeshi ya Libya yanayopigana na waasi.
Waandishi wa habari wametembezwa kwenye eneo hilo lakini hakuna taarifa ikiwa maafa yalitokea baada ya shambulizi hilo.
Naibu mkuu wa jeshi la wanamaji wa marekani Bill Gortney anasema mashubulizi hayo hayaja mlenga kanali Gaddafi.
Kwa hab ari zaidi GONGA HAPA

No comments:

Post a Comment