Sunday, March 13, 2011

KWENYE MEDIA DAY ILIKUWA FULL SHANGWEEEEEEEEE!

Twanga pepeta ndio walikuwepo kutoa burdani mwanzo mwisho
Mhariri wa mchezo kutoka gazeti la DIRA ya mtanzania akicheza mziki na dada Bupe kutoka gazeti la Mwnahalisi
Full Shangwe
Mbio za mchangani zilikuwepo
Mpira wa miguu ulikuwepo
Idara ya vinywji ilikuwa kamili
Hii ni meza ya wadau kutka gazeti la CHANGAMOTO
Hapa ni full shangwe
Sule Junior (kushoto) na mdau Henry Mdimu a.k.a Zee la nyeti
Nchmbi ndie aliyekua mgeni rasmi na hapa alikuwa akifuatilia mchezo wa mpira wa miguu mchangani
Ahmad Michuzi (michuzi Junior) akichukua baadhi ya matukio
Mpiga picha wa chombo kimoja cha habari akiwa anajikataa kiaina
Sule Junior (kulia) na mdau Jerome risasi kutoka Clouds FM
Sule Junior (kushoto) na mdau / Bloger Othman Michuzi wa Mtaa kwa mtaa
Sule Junior (kulia) na mdau Godfrey kutoka Chanel ten / Magic Fm
Sule Junior (kulia) na mdau kutoka gazeti la Changamoto
Sule Junior (kulia) na Nassa mkungwa kutoka EATV

No comments:

Post a Comment