Friday, March 18, 2011

BABU KAJU AWEKA HISTORIA NCHINI JAMAICA.

Ka mara ya kwanza historia ya jamaica imebadilishwa na mwanamuziki na mwimbaji wa nyimbo za kiswahili kwa kushika namba moja katika chati za muziki nchini humo. 
Hii ni meseji kutoka jamaica............ "historia ya jamaica kwa mara ya kwanza mwana mziki wa nje wimbo umekamata namba moja mtunzi wa wimbo huo ni alex kajumulo muimbaji ni selassie i soldier na alex kajumulo mpiga bass ni aliye kua mpigaji wa bob na mpiga drums ni aliye kua mpigaji wa bob carlton barrett gita imepigwa na clinton fearon/ boogie  brown."
Wimbohuo umeshika namba moja nchini jamaica. Usikilize wimbo huo kwenye playlist hapo pembeni (kulia) wimbo unaitwa It's me again Jah

No comments:

Post a Comment