Saturday, March 19, 2011

EAST AFRICA RADIO NA EATV....KITU MWAKE PANDE ZA DODOMA''DODOMA ....EAST AFRICA RADIO - "YOUR ALL HITS STATION" IMEKUFIKIA,COZ KWA SASA UNAWEZA KUSIKILIZA VIPINDI BORA NA VIKALI TOKA PREZENTAZ NA DJ'Z BAAAB KUBWA! UKIWA DODOMA JUST TUPIA KWENYE RADIO YAKO MASAFA YA 99.6 FM....PIA EATV "THE NO 1 YOUTH CHANNEL" KWA SASA NI LIVE BILA CHE'...E INAPATIKANA PANDE HIZO BILA KUTUMIA DECORDER WALA NINI....ANTENNA YA KAWAIDA TU MPANGO MZIMA PALE KATI....TOGETHER TUNAWAKILISHA! ....MPANGO MZIMA UTAISIKILIZA EAST AFRICA RADIO KAMA UKO PANDE HIZI KUPITIA....DODOMA - 99.6 FMMWANZA - 99.2 FMDSM - 87.8 FMARUSHA - 93.6 FMMOSHI - 93.4 FMNAIROBI - 94.7 FMKAMPALA - 99.0 FM

No comments:

Post a Comment