Thursday, March 10, 2011

MMEMUONAAA MWANA DADA?!!!

Mdau mkubwa wa blog hii ya mtoto wa kitaa mwanadada Jackline Julius akiwa kwenye mkoko wake kwa furaha kabisa anasema Maisha hayaji mara mbili banah, ukipata mshukuru mungu, mwanadada huyu ni mtanzania lakini kwa sasa anaishi Mexico city nawaambia wadad wa kibongo "Maisha ni Kujituma"
may god bless her always

No comments:

Post a Comment