Wednesday, March 9, 2011

SAIDAWG a.k.a GHETOKING KUIWEKA WANAPAGAWA VIDEONI

Msanii wa HIP HOP nchin anaejulikana kaka SAIDAWG amesema anatarajia kuiweka ngoma yake mpya katika kichupa mapema wiki hii!
Akipgastori na mtoto wa kitaa Saidawg alisema ameamua kiweka kwenye hiyo ngoma kwenye kichu pa kutokana na kuona kama ikiwa kwenye audio in achelewa kupick "banah hawa wadau wanataka vichupa ndio wakuelewe lakin i ukiacha ngoma yako kwenye audio tu pekeyake inachelewa!"
ngoma hiyo inayoenda kuwekwa kwenye kichupa inaitw WANPAGAWA amabyo ipo kwenye mahadhi ya raggamafin na katika ngoma hiyo amewashirikisha wakali wawili, Mh. Temba na mtu mzima Jose Mtambo huku mzigo mzima ukiwa umepikwa na mtu mzima Vill kutoka pande za mikocheni katika studio ya 24/7.

No comments:

Post a Comment