Thursday, November 3, 2011

SWAHILI FASHION WEEK 2011 - KENYA

 Meneja Masoko wa Redd Nchini Kenya, Nyandoro Pinkie Akizungumza na vyombo vya habari, juu uwakilishi wake katika Mashindano ya  USAID JC Mazingue
Mustafa Hassanali mkutano Akizungumza na waandishi wa habari, upande wake wa kushoto ni Mwakilishi wa Mashindano ya USAID JC Mazingue, Finn Holm-Olsen na kulia kwake ni  Meneja Masoko wa Redd nchini Kenya, Nyandoro Pinkie
Baadhi ya waandishi wa habari wa Nchini Kenya waliohudhuria mkutano huo wa uzinduzi wa Swahili Fashion Week  Novemba 2 ambao umeandaliwa na asili ya ReddNo comments:

Post a Comment