Wednesday, November 9, 2011

FA AACHIA NGOMA MPYA "YALAITI"

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa MwanaFA akiwa amemshirikisha Linah, Ngoma inaitwa YALAITI  ngoma hii ni sample kutoka kwa wasanii wakongwe ambao waliutumia miaka mingi iliyopita, ngoma hii iliimbwa na  Siti, Binti Saad, Malika pamoja na Bibi Kidude. 
kwenye hii ngoma Linah amesimama kwenye chorus  na huku mtu mzima FA akichana miondoko ya HIP HOP.
Gitaa limecharazwa Cadinal Gento ambaye ni mwalimu wa muziki  pale THT huku mtu mzima  Marco Chali kutoka MJ Rec akisimamia mpango mzima wa beat na mixing

No comments:

Post a Comment