Sunday, November 6, 2011

BONDIA FRANCISI MIYAYUSHO ANDELEA KUSHEREKEA UBINGWA KINONDONI


Bondia Fransic Miyayusho wa pili (kulia) akimkabizi mkanda aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Ngumi za Ridhaa Nchini(BFT) ambaye sasa ni Mfadhiri wake Meja, David Kyungu kulia wakati wa sherehe ya kumpongeza baada ya kuwa bingwa wa mkanda wa UBO kwa kumtwanga bondia, Mbwana Matumla wa Temeke kulia Promota wake, Mohamedi Bawaziri na Mdau wa michezo wa Wilaya ya Kinondoni Prosper Mzee.


Msanii Recho akiongea wakati wa sherehe ya kumpongeza bondia Francis Miyayusha ambapo amesema atashirikiana nae bega kwa bega mpaka kuakikisha kinajegwa chuo cha sanaa KInondoni kwa ajili ya michezo
Bondia Fransic MIyayusho wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja na promota wake Mohamedi Bawaziri na kushoto ni Mdau wa michezo Wilaya ya KInondoni Prosper Mzee pamoja na kocha wake msaidizi kulia

(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment