Sunday, November 20, 2011

MKURUGENZI WA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL ATUNIKIWA UDAKTARI UK

Dr Charles Bekoni, Dr Peter Frazer na familia yake mrs Bekon na watoto wao Bryan Bekoni"kushoto" na Rodney Bekon "kulia"
Dr Bekoni and his supervisor Dr. Peter Frazer.

Dkt Bekoni ambae ni Managing Director of Giraffe Ocean View Hotel alitunikiwa PhD in Business Management (Entrepreneurship and Marketing). 
  Dkt Bekoni kahitimu University of Hertfordshire graduation ceremony held at St Alban, Herfordshire in the UK.
  Uongozi wa Hoteli ya Giraffe Ocean View ikishirikiana General Manager Mr.Raul inampongeza mkurugezi wao kutunukiwa PhD hiyo kwani faraja kwa wafanyakazi wote.
Pia uongozi wa kampuni ya SULE'S INC. & ENTERTAINMENE pamoja na Blog ya MTOTO WA KITAA  na wasomaji wote wa blog hii wote kwa pamoja  tunampongeza Dkt. BEKON. 

No comments:

Post a Comment