b..

B1

Wynem

animation

Saturday, November 12, 2011

SIKU YA NNE LEO TABORA WAKOSA MAFUTA

Uhaba wa mafuta katika mkoa wa Tabora.
Hivi ndivyo hali ilivyo katika pita pita za Latest news Tz na kujionea mstari mrefu watu wakisubiri kupata huduma ya mafuta.
Hali hii ilianza kama siku nne zilizopita na kila siku kituo kimoja kinatoa huduma hiyo.

No comments:

Post a Comment