Wednesday, November 9, 2011

SAUDA MWILIMA AVISHWA PETE YA UCHUMBA

Hii ndo pete aliovishwa
 
Mtangazaji wa Luninga Saida mwilima amevishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mchumba wake wanotarajia kufunga ndoa hivi punde.
Sauda mwilima akicheza muziki kwa furaha na mchumba wake baada ya kuvishana pete siku hiyo.

No comments:

Post a Comment