Sunday, November 13, 2011

NEW MLAB RELEASE: AU - NIKKI MBISHI feat. NURUELI

Huu wimbo mpya wa Nikki mbishi aliomshirikisha msanii mkongwe wa RnB hapa bongo akifahamika kwa jina la Nurueli. mwimbo huu ni sehemu ya zile nyimbo kumi na nane zitakazopatikana katika album ya SAUTI YA JOGOO. Details za nyimbo hii ni kama zifuatazo

Artist: Nikki Mbishi feat. Nuruel
Song title: AU
Composed By: Nikki, Nuruel & duke
Produced, Arranged and mixed by:  Duketachez for M lab 
Project: SAUTI YA JOGOO

No comments:

Post a Comment